# matoleo "vitu ambavyo watu walimpa Mungu" # siku zitakuja ambazo "kutakuwa na nyakati ambapo" au "siku fulani" # hakuna jiwe moja ambalo litaachwa juu ya jiwe jingine "kila jiwe litatolewa mahali pake." Tafsiri mbadala: "adui hawataliacha jiwe juu ya jiwe juu ya jiwe jingine." # ambalo halitabomolewa Hii inaweza kutafsiriwa kama sentensi mpya. Tafsiri mbadala: "Yote yatabomolewa chini" au " Adui watabomoa chini kila jiwe."