sw_tn/luk/21/05.md

436 B

matoleo

"vitu ambavyo watu walimpa Mungu"

siku zitakuja ambazo

"kutakuwa na nyakati ambapo" au "siku fulani"

hakuna jiwe moja ambalo litaachwa juu ya jiwe jingine

"kila jiwe litatolewa mahali pake." Tafsiri mbadala: "adui hawataliacha jiwe juu ya jiwe juu ya jiwe jingine."

ambalo halitabomolewa

Hii inaweza kutafsiriwa kama sentensi mpya. Tafsiri mbadala: "Yote yatabomolewa chini" au " Adui watabomoa chini kila jiwe."