sw_tn/luk/20/34.md

758 B

Maelezo yanayounganisha

Yesu anaanza kuwajibu Masadukayo

Wana wa ulimwengu huu

"Watu wa ulimwengu huu" au "watu wa nyakati hizi." Hii inapingana na wale walioko mbingini na watu watakaoishi baada ya ufufuo.

Kuoa na kuolewa

Kwa tamaduni hiyo wanaongelea juu ya mwanaume kumuoa mwanamke na mwanamke kupelekwa kwenye ndoa kwa mume wake "kuolewa."

Wao wanaostahili

"watu ambao Mungu anawaona kuwa wanastahili"

Kupokea ufufuo toka kwa waliokufa

"kufufuliwa toka kwa wafu" au "kufufuka toka kwa wafu"

Hawataoa wala hawataolewa

"Hawataoa." Hii ni baada ya ufufuo.

Hawatakufa tena

Hii ni baada ya ufufuo. "Hawatakuwa na uwezo wa kufa tena."

na wana wa Mungu watakuw wana wa ufufuo

"ni watoto wa Mungu maana amewatoa toka kwenye kifo"