sw_tn/luk/20/34.md

32 lines
758 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo yanayounganisha
Yesu anaanza kuwajibu Masadukayo
# Wana wa ulimwengu huu
"Watu wa ulimwengu huu" au "watu wa nyakati hizi." Hii inapingana na wale walioko mbingini na watu watakaoishi baada ya ufufuo.
# Kuoa na kuolewa
Kwa tamaduni hiyo wanaongelea juu ya mwanaume kumuoa mwanamke na mwanamke kupelekwa kwenye ndoa kwa mume wake "kuolewa."
# Wao wanaostahili
"watu ambao Mungu anawaona kuwa wanastahili"
# Kupokea ufufuo toka kwa waliokufa
"kufufuliwa toka kwa wafu" au "kufufuka toka kwa wafu"
# Hawataoa wala hawataolewa
"Hawataoa." Hii ni baada ya ufufuo.
# Hawatakufa tena
Hii ni baada ya ufufuo. "Hawatakuwa na uwezo wa kufa tena."
# na wana wa Mungu watakuw wana wa ufufuo
"ni watoto wa Mungu maana amewatoa toka kwenye kifo"