# Maelezo yanayounganisha Yesu anaanza kuwajibu Masadukayo # Wana wa ulimwengu huu "Watu wa ulimwengu huu" au "watu wa nyakati hizi." Hii inapingana na wale walioko mbingini na watu watakaoishi baada ya ufufuo. # Kuoa na kuolewa Kwa tamaduni hiyo wanaongelea juu ya mwanaume kumuoa mwanamke na mwanamke kupelekwa kwenye ndoa kwa mume wake "kuolewa." # Wao wanaostahili "watu ambao Mungu anawaona kuwa wanastahili" # Kupokea ufufuo toka kwa waliokufa "kufufuliwa toka kwa wafu" au "kufufuka toka kwa wafu" # Hawataoa wala hawataolewa "Hawataoa." Hii ni baada ya ufufuo. # Hawatakufa tena Hii ni baada ya ufufuo. "Hawatakuwa na uwezo wa kufa tena." # na wana wa Mungu watakuw wana wa ufufuo "ni watoto wa Mungu maana amewatoa toka kwenye kifo"