sw_tn/luk/20/29.md

32 lines
944 B
Markdown

# Maelezo yanayounganisha
Masadukayo wakamaliza kumuuliza Yesu maswali.
# Taarifa ya jumla
Masadukayo walimwambia Yesu simulizi fupi kwenye mstari wa 29-32. Hii ni simulizi waliyoiweka kama mfano. kwenye mstari wa 33, walimuuliza Yesua swali kuhusu simulizi hiyo.
# Walikuwepo ndugu saba
Hii inaweza kuwa imetokea au ni simulizi iliyotengenezwa ili kumjaribu Yesu.
# Walikufa bila kuwa na watoto
"kufa bila kuwa na mtoto" au "na kufa lakini hawakuwa na mtoto yeyote"
# Na wa pili pia
"wa pili alimuoa na kitu kilekile kikatokea" au "ndugu wa pili akamuoa na akafa bila kupata watoto"
# Wa tatu akamchukua
"wa tatu akamuoa"
# vivyo hivyo wa saba hakuacha watoto na akafa
"kwa njia ileile kama ndugu wote saba walimuoa na hawakupata watoto wa wakafa.
# Kwenye ufufuo
"wakati watu watafufuliwa toka kwa wafu" au "wakati waliokufa wanakuwa hai tena." Baadhi ya lugha wananjia ya kuonyesha kuwa masadukayo hawaamini kuwa kuna ufufuo.