# Maelezo yanayounganisha Masadukayo wakamaliza kumuuliza Yesu maswali. # Taarifa ya jumla Masadukayo walimwambia Yesu simulizi fupi kwenye mstari wa 29-32. Hii ni simulizi waliyoiweka kama mfano. kwenye mstari wa 33, walimuuliza Yesua swali kuhusu simulizi hiyo. # Walikuwepo ndugu saba Hii inaweza kuwa imetokea au ni simulizi iliyotengenezwa ili kumjaribu Yesu. # Walikufa bila kuwa na watoto "kufa bila kuwa na mtoto" au "na kufa lakini hawakuwa na mtoto yeyote" # Na wa pili pia "wa pili alimuoa na kitu kilekile kikatokea" au "ndugu wa pili akamuoa na akafa bila kupata watoto" # Wa tatu akamchukua "wa tatu akamuoa" # vivyo hivyo wa saba hakuacha watoto na akafa "kwa njia ileile kama ndugu wote saba walimuoa na hawakupata watoto wa wakafa. # Kwenye ufufuo "wakati watu watafufuliwa toka kwa wafu" au "wakati waliokufa wanakuwa hai tena." Baadhi ya lugha wananjia ya kuonyesha kuwa masadukayo hawaamini kuwa kuna ufufuo.