sw_tn/luk/20/29.md

944 B

Maelezo yanayounganisha

Masadukayo wakamaliza kumuuliza Yesu maswali.

Taarifa ya jumla

Masadukayo walimwambia Yesu simulizi fupi kwenye mstari wa 29-32. Hii ni simulizi waliyoiweka kama mfano. kwenye mstari wa 33, walimuuliza Yesua swali kuhusu simulizi hiyo.

Walikuwepo ndugu saba

Hii inaweza kuwa imetokea au ni simulizi iliyotengenezwa ili kumjaribu Yesu.

Walikufa bila kuwa na watoto

"kufa bila kuwa na mtoto" au "na kufa lakini hawakuwa na mtoto yeyote"

Na wa pili pia

"wa pili alimuoa na kitu kilekile kikatokea" au "ndugu wa pili akamuoa na akafa bila kupata watoto"

Wa tatu akamchukua

"wa tatu akamuoa"

vivyo hivyo wa saba hakuacha watoto na akafa

"kwa njia ileile kama ndugu wote saba walimuoa na hawakupata watoto wa wakafa.

Kwenye ufufuo

"wakati watu watafufuliwa toka kwa wafu" au "wakati waliokufa wanakuwa hai tena." Baadhi ya lugha wananjia ya kuonyesha kuwa masadukayo hawaamini kuwa kuna ufufuo.