sw_tn/luk/20/05.md

530 B

Walijadiliana

"Walijadili" au "walitafakari jibu lao"

"tukisema imetoka mbinguni'

Lugha nyingine zinatumia nukuu ya moja kwa moja. "Kama tukisema mamlaka ya Yohana yalitoka Mbinguni"

Toka mbinguni

"Toka kwa Mungu" inategemea na namna ambavyo swali lilitafsiriwa kwenye mistari iliyopita, hii inaweza kutafsiriwa kama "Mungu alifanya" au "Mungu alimpa mamlaka"

Atasema

Yesu atasema

kutupia mawe

"Kutuua kwa kutupiga mawe" Sheria ya Mungu imeamuru watu wake kuwapiga mawe watu wanaomdhihaki yeye au manabii zake.