# Walijadiliana "Walijadili" au "walitafakari jibu lao" # "tukisema imetoka mbinguni' Lugha nyingine zinatumia nukuu ya moja kwa moja. "Kama tukisema mamlaka ya Yohana yalitoka Mbinguni" # Toka mbinguni "Toka kwa Mungu" inategemea na namna ambavyo swali lilitafsiriwa kwenye mistari iliyopita, hii inaweza kutafsiriwa kama "Mungu alifanya" au "Mungu alimpa mamlaka" # Atasema Yesu atasema # kutupia mawe "Kutuua kwa kutupiga mawe" Sheria ya Mungu imeamuru watu wake kuwapiga mawe watu wanaomdhihaki yeye au manabii zake.