sw_tn/luk/19/37.md

450 B

Alipokuwa nateremka katibu

"Yesu alipokaribia" au "Yesu alipokuwa anakaribia." Wanafunzi wa Yesu walikuwa wakisafiri pamoja naye.

Mambo makubwa waliyoyaona

"Mambo makubwa waliyoyaona yakifanywa na Yesu"

Amebarikiwa Mfalme

Walisema haya kuhusu Yesu

Kwa jina la Bwana

Hapa "jina" linaelezea nguvu na mamlaka. Pia "Bwana" linamaanisha Mungu

Utukufu juu

"Acha kila mtu amtukuze yeye aliye juu sana" au "acha kila mtu amsifu aliye juu"