# Alipokuwa nateremka katibu "Yesu alipokaribia" au "Yesu alipokuwa anakaribia." Wanafunzi wa Yesu walikuwa wakisafiri pamoja naye. # Mambo makubwa waliyoyaona "Mambo makubwa waliyoyaona yakifanywa na Yesu" # Amebarikiwa Mfalme Walisema haya kuhusu Yesu # Kwa jina la Bwana Hapa "jina" linaelezea nguvu na mamlaka. Pia "Bwana" linamaanisha Mungu # Utukufu juu "Acha kila mtu amtukuze yeye aliye juu sana" au "acha kila mtu amsifu aliye juu"