sw_tn/luk/19/37.md

20 lines
450 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Alipokuwa nateremka katibu
"Yesu alipokaribia" au "Yesu alipokuwa anakaribia." Wanafunzi wa Yesu walikuwa wakisafiri pamoja naye.
# Mambo makubwa waliyoyaona
"Mambo makubwa waliyoyaona yakifanywa na Yesu"
# Amebarikiwa Mfalme
Walisema haya kuhusu Yesu
# Kwa jina la Bwana
Hapa "jina" linaelezea nguvu na mamlaka. Pia "Bwana" linamaanisha Mungu
# Utukufu juu
"Acha kila mtu amtukuze yeye aliye juu sana" au "acha kila mtu amsifu aliye juu"