sw_tn/luk/19/29.md

666 B

Maelezo ya Jumla

Hii ni sehemu nyingine ya simulizi. Yesu anakaribia Yerusalemu.

Ikawa

Aya hii imetumika kuonyesha mwanzo wa simulizi mpya. Kama lungha yako ina njia nyingine ya kusema hivi unaweza ukatumia hivyo.

Alipofika karibu

Neno "yeye" linamaanisha Yesu. Wanafunzi wake walisafiri pamoja naye.

Bethfage

Bethfage kilikuwa kijiji kwenye mlima wa Mizeituni, ambayo imepita katikati ya bonde la Kidron toka Yerusalemu.

Mlima ulioitwa Mizeituni

"Mlima ulioitwa Mlima wa Mizeituni" au Mlima ulioitwa "mlima wa mti wa Mizeituni"

Mwanapunda

"Punda mdogo" au "myama mdogo wa kumuendesha"

Ambaye hajapandwa bado

"ambae hamna mtu aliyemtumia"