sw_tn/luk/19/29.md

28 lines
666 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Hii ni sehemu nyingine ya simulizi. Yesu anakaribia Yerusalemu.
# Ikawa
Aya hii imetumika kuonyesha mwanzo wa simulizi mpya. Kama lungha yako ina njia nyingine ya kusema hivi unaweza ukatumia hivyo.
# Alipofika karibu
Neno "yeye" linamaanisha Yesu. Wanafunzi wake walisafiri pamoja naye.
# Bethfage
Bethfage kilikuwa kijiji kwenye mlima wa Mizeituni, ambayo imepita katikati ya bonde la Kidron toka Yerusalemu.
# Mlima ulioitwa Mizeituni
"Mlima ulioitwa Mlima wa Mizeituni" au Mlima ulioitwa "mlima wa mti wa Mizeituni"
# Mwanapunda
"Punda mdogo" au "myama mdogo wa kumuendesha"
# Ambaye hajapandwa bado
"ambae hamna mtu aliyemtumia"