sw_tn/luk/19/11.md

16 lines
535 B
Markdown

# Taarifa ya jumla
Yesu alianza kuwaambia makutano mfano. mstari wa kumi na moja unaonyesha historia kwa nini Yesu aliwaambia mfano huo.
# kwamba ufalme wa Mungu ulikuwa karibu kuonekana mara moja.
"kwamba Yesu ataanza kumiliki maramoja kwenye ufalme wa Mungu"
# Ofisa mmoja
"Mtu mmoja ambaye alikuwa mmoja wa viongozi" au "mtu mmoja toka kwenye familia ya muhimu." "Mtu wa muhimu"
# Kupokea ufalme
Hii ni picha ya mfalme mdogo kumwendea mfalme mkubwa. Mfalme mkubwa atampa mfalme mdogo mamlaka ya kuongoza nchi yake mwenyewe.