sw_tn/luk/19/11.md

535 B

Taarifa ya jumla

Yesu alianza kuwaambia makutano mfano. mstari wa kumi na moja unaonyesha historia kwa nini Yesu aliwaambia mfano huo.

kwamba ufalme wa Mungu ulikuwa karibu kuonekana mara moja.

"kwamba Yesu ataanza kumiliki maramoja kwenye ufalme wa Mungu"

Ofisa mmoja

"Mtu mmoja ambaye alikuwa mmoja wa viongozi" au "mtu mmoja toka kwenye familia ya muhimu." "Mtu wa muhimu"

Kupokea ufalme

Hii ni picha ya mfalme mdogo kumwendea mfalme mkubwa. Mfalme mkubwa atampa mfalme mdogo mamlaka ya kuongoza nchi yake mwenyewe.