# Taarifa ya jumla Yesu alianza kuwaambia makutano mfano. mstari wa kumi na moja unaonyesha historia kwa nini Yesu aliwaambia mfano huo. # kwamba ufalme wa Mungu ulikuwa karibu kuonekana mara moja. "kwamba Yesu ataanza kumiliki maramoja kwenye ufalme wa Mungu" # Ofisa mmoja "Mtu mmoja ambaye alikuwa mmoja wa viongozi" au "mtu mmoja toka kwenye familia ya muhimu." "Mtu wa muhimu" # Kupokea ufalme Hii ni picha ya mfalme mdogo kumwendea mfalme mkubwa. Mfalme mkubwa atampa mfalme mdogo mamlaka ya kuongoza nchi yake mwenyewe.