sw_tn/luk/19/08.md

437 B

Bwana

Hii inamzungumzia Yesu

Wokovu umekuja katika nyumba hii

"Mungu ameokoa nyumba hii"

Nyumba hii

neno "nyumba" inamaanisha watu waishio kwenye nyumba hiyo au familia.

Yeye pia

"huyu mtu pia" au "Zakayo pia"

Mwana wa Ibrahimu

Inamaanisha 1)"kizazi cha Ibrahimu" na 2)"mtu aliyekuwa na imani kama ya Ibrahimu."

Watu waliopotea

"watu waliokua mbali na Mungu" au "wale ambao kutokana na dhambi wako mbali na Mungu"