# Bwana Hii inamzungumzia Yesu # Wokovu umekuja katika nyumba hii "Mungu ameokoa nyumba hii" # Nyumba hii neno "nyumba" inamaanisha watu waishio kwenye nyumba hiyo au familia. # Yeye pia "huyu mtu pia" au "Zakayo pia" # Mwana wa Ibrahimu Inamaanisha 1)"kizazi cha Ibrahimu" na 2)"mtu aliyekuwa na imani kama ya Ibrahimu." # Watu waliopotea "watu waliokua mbali na Mungu" au "wale ambao kutokana na dhambi wako mbali na Mungu"