sw_tn/luk/19/08.md

24 lines
437 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Bwana
Hii inamzungumzia Yesu
# Wokovu umekuja katika nyumba hii
"Mungu ameokoa nyumba hii"
# Nyumba hii
neno "nyumba" inamaanisha watu waishio kwenye nyumba hiyo au familia.
# Yeye pia
"huyu mtu pia" au "Zakayo pia"
# Mwana wa Ibrahimu
Inamaanisha 1)"kizazi cha Ibrahimu" na 2)"mtu aliyekuwa na imani kama ya Ibrahimu."
# Watu waliopotea
"watu waliokua mbali na Mungu" au "wale ambao kutokana na dhambi wako mbali na Mungu"