sw_tn/luk/19/01.md

12 lines
404 B
Markdown

# Taarifa ya jumla
Hii ni sehemu iliyofuata ya simulizi. Zakayo anatambulishwa kwenye simulizi. mstari wa kwanza unaonyesha historia ya safari ya Yesu.
# Tazama kulikuwa na mtu pale
Neno "tazama" linatuonyesha mtu mpya kwenye simulizi. Lugha yako inaweza kuwa na na njia ya kufanya hivi. "Kulikuwa na mtu ambaye alikuwa"
# Alikuwa mkuu wa watoza ushuru na alikuwa tajiri.
Hii ni historia ya Zakayo.