sw_tn/luk/19/01.md

404 B

Taarifa ya jumla

Hii ni sehemu iliyofuata ya simulizi. Zakayo anatambulishwa kwenye simulizi. mstari wa kwanza unaonyesha historia ya safari ya Yesu.

Tazama kulikuwa na mtu pale

Neno "tazama" linatuonyesha mtu mpya kwenye simulizi. Lugha yako inaweza kuwa na na njia ya kufanya hivi. "Kulikuwa na mtu ambaye alikuwa"

Alikuwa mkuu wa watoza ushuru na alikuwa tajiri.

Hii ni historia ya Zakayo.