# Taarifa ya jumla Hii ni sehemu iliyofuata ya simulizi. Zakayo anatambulishwa kwenye simulizi. mstari wa kwanza unaonyesha historia ya safari ya Yesu. # Tazama kulikuwa na mtu pale Neno "tazama" linatuonyesha mtu mpya kwenye simulizi. Lugha yako inaweza kuwa na na njia ya kufanya hivi. "Kulikuwa na mtu ambaye alikuwa" # Alikuwa mkuu wa watoza ushuru na alikuwa tajiri. Hii ni historia ya Zakayo.