sw_tn/luk/18/38.md

28 lines
497 B
Markdown

# Hivyo
Neno hili linaweka alama ya tukio limetokea kwa sababu kitu fulani kilitokea kwanza. Kwa hivyo makutano walimwambia kipofu kuwa Yesu anapita.
# Akalia kwa sauti
"akaita kwa sauti" au "akapiga kelele"
# Mwana wa Daudi
Yesu alikuwa uzao wa Daudi, Mfalme muhimu kwa Israeli.
# Nihurumie
"nionee huruma" au "nihurumie"
# Wale
"watu"
# Anyamaze
"awe kimya" au "asipige kelele"
# Akazidi kulia kwa sauti
Hii inaweza kumaanisha alilia kwa sauti zaidi au alilia zaidi kwa kusisitiza.