sw_tn/luk/18/38.md

497 B

Hivyo

Neno hili linaweka alama ya tukio limetokea kwa sababu kitu fulani kilitokea kwanza. Kwa hivyo makutano walimwambia kipofu kuwa Yesu anapita.

Akalia kwa sauti

"akaita kwa sauti" au "akapiga kelele"

Mwana wa Daudi

Yesu alikuwa uzao wa Daudi, Mfalme muhimu kwa Israeli.

Nihurumie

"nionee huruma" au "nihurumie"

Wale

"watu"

Anyamaze

"awe kimya" au "asipige kelele"

Akazidi kulia kwa sauti

Hii inaweza kumaanisha alilia kwa sauti zaidi au alilia zaidi kwa kusisitiza.