sw_tn/luk/18/35.md

626 B

Taarifa ya jumla

Hii ni sehemu nyingine ya simulizi. Yesu anamponya kipofu alipokuwa anakaribia Yeriko. Mistari hii inatupa historia kuhusu simulizi hii.

Ikawa

Neno hili linatumika kuonyesha mwanzo wa simulizi mpya.

Alipokaribia

"Alipokuwa karibu"

Mtu mmoja kipofu alikuwa ameketi

"kulikuwa na mtu kipofu ameketi" Hapa "mmoja" inaonyesha kuwa mtu huyu alikuwa wa muhimu katika simulizi hii lakini Luka hakutaja jina lale.

Akiomba, na akasikia

"Aliomba. aliposikia"

Wakamwambia

"Makutano wakamwambia kipofu"

Yesu wa Nazareti

Yeso toka mji wa Nazareti uliopo Galilaya.

Anapiata

"Alikuwa akimpita"