sw_tn/luk/18/34.md

429 B

Maelezo ya jumla:

Mstari huu sio sehemu ya simulizi lakini ni mawazo kuhusu sehemu ya simulizi hii.

Hawakuelewa mambo haya

"Hawakuelewa kabisa mambo haya"

Mambo haya

Hii inaelezea namna ambavyo Yesu atateseka na kufa Yerusalemu, na atafufuka toka kwa wafu.

Neno hili lilikuwa limefichwa kwao

"Mungu aliwafanya wasielewe maana ya kile alichokuwa akiwaambia"

Mambo ambayo aliyasema

"Mambo ambayo Yesu aliyasema"