# Maelezo ya jumla: Mstari huu sio sehemu ya simulizi lakini ni mawazo kuhusu sehemu ya simulizi hii. # Hawakuelewa mambo haya "Hawakuelewa kabisa mambo haya" # Mambo haya Hii inaelezea namna ambavyo Yesu atateseka na kufa Yerusalemu, na atafufuka toka kwa wafu. # Neno hili lilikuwa limefichwa kwao "Mungu aliwafanya wasielewe maana ya kile alichokuwa akiwaambia" # Mambo ambayo aliyasema "Mambo ambayo Yesu aliyasema"