sw_tn/luk/18/34.md

20 lines
429 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya jumla:
Mstari huu sio sehemu ya simulizi lakini ni mawazo kuhusu sehemu ya simulizi hii.
# Hawakuelewa mambo haya
"Hawakuelewa kabisa mambo haya"
# Mambo haya
Hii inaelezea namna ambavyo Yesu atateseka na kufa Yerusalemu, na atafufuka toka kwa wafu.
# Neno hili lilikuwa limefichwa kwao
"Mungu aliwafanya wasielewe maana ya kile alichokuwa akiwaambia"
# Mambo ambayo aliyasema
"Mambo ambayo Yesu aliyasema"