sw_tn/luk/18/28.md

428 B

Maelezo yanayounganisha

Huu ni mwisho wa mazungumzo kuhusu kuingia kwenye ufalme wa Mungu.

Kila kitu kilicho chetu

"utajiri wetu wote" au "Mali zetu zote"

Amini, nawaambia

Yesu anatumia maelezo haya kuonyesha umuhimu wa kile anachotaka kukisema.

Hakuna mtu aliyeacha....... ambaye hatapokea

"kila aliyeacha... atapokea"

Na katika ulimwengu ujao, uzima wa milele

"na pia uzima wa milele katika ulimwengu ujao"