# Maelezo yanayounganisha Huu ni mwisho wa mazungumzo kuhusu kuingia kwenye ufalme wa Mungu. # Kila kitu kilicho chetu "utajiri wetu wote" au "Mali zetu zote" # Amini, nawaambia Yesu anatumia maelezo haya kuonyesha umuhimu wa kile anachotaka kukisema. # Hakuna mtu aliyeacha....... ambaye hatapokea "kila aliyeacha... atapokea" # Na katika ulimwengu ujao, uzima wa milele "na pia uzima wa milele katika ulimwengu ujao"