sw_tn/luk/18/28.md

20 lines
428 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo yanayounganisha
Huu ni mwisho wa mazungumzo kuhusu kuingia kwenye ufalme wa Mungu.
# Kila kitu kilicho chetu
"utajiri wetu wote" au "Mali zetu zote"
# Amini, nawaambia
Yesu anatumia maelezo haya kuonyesha umuhimu wa kile anachotaka kukisema.
# Hakuna mtu aliyeacha....... ambaye hatapokea
"kila aliyeacha... atapokea"
# Na katika ulimwengu ujao, uzima wa milele
"na pia uzima wa milele katika ulimwengu ujao"