sw_tn/luk/18/26.md

12 lines
349 B
Markdown

# Waliosikia wakasema
"Watu waliomsikiliza Yesu wakasema"
# Je nani atakayeokoka?
Inawezekana kuwa walikuwa wanataka jibu. Lakini ni dhahiri kwamba walitumia swali kuonyesha mshangao wao kwa alichokisema Yesu. "Hivyo hakuna atakayeokoka na dhambi" au "Hivyo Mungu hatamuokoa hata mmoja"
# Yanawezekana kwa Mungu
"inawezekana kwa Mungu kufanya"