# Waliosikia wakasema "Watu waliomsikiliza Yesu wakasema" # Je nani atakayeokoka? Inawezekana kuwa walikuwa wanataka jibu. Lakini ni dhahiri kwamba walitumia swali kuonyesha mshangao wao kwa alichokisema Yesu. "Hivyo hakuna atakayeokoka na dhambi" au "Hivyo Mungu hatamuokoa hata mmoja" # Yanawezekana kwa Mungu "inawezekana kwa Mungu kufanya"