sw_tn/luk/18/26.md

349 B

Waliosikia wakasema

"Watu waliomsikiliza Yesu wakasema"

Je nani atakayeokoka?

Inawezekana kuwa walikuwa wanataka jibu. Lakini ni dhahiri kwamba walitumia swali kuonyesha mshangao wao kwa alichokisema Yesu. "Hivyo hakuna atakayeokoka na dhambi" au "Hivyo Mungu hatamuokoa hata mmoja"

Yanawezekana kwa Mungu

"inawezekana kwa Mungu kufanya"