sw_tn/luk/18/22.md

383 B

Yesu aliposikia hayo

"Yesu aliposikia yule mtu akisema hayo"

Akamwambia

"akamjibu"

Umepungukiwa jambo moja

"Bado unatakiwa kufanya jambo moja" au "Kuna jambo moja bado hujalifanya"

Uza vyote ulivyonavyo

"Uza mali zako zote" au "uza vyote unavyomiliki"

Wagawie masikini

"Wape hizo pesa masikini"

Utakuwa na hazina mbinguni

"Utakuwa na baraka za Mungu mbinguni"