sw_tn/luk/18/22.md

24 lines
383 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Yesu aliposikia hayo
"Yesu aliposikia yule mtu akisema hayo"
# Akamwambia
"akamjibu"
# Umepungukiwa jambo moja
"Bado unatakiwa kufanya jambo moja" au "Kuna jambo moja bado hujalifanya"
# Uza vyote ulivyonavyo
"Uza mali zako zote" au "uza vyote unavyomiliki"
# Wagawie masikini
"Wape hizo pesa masikini"
# Utakuwa na hazina mbinguni
"Utakuwa na baraka za Mungu mbinguni"