# Yesu aliposikia hayo "Yesu aliposikia yule mtu akisema hayo" # Akamwambia "akamjibu" # Umepungukiwa jambo moja "Bado unatakiwa kufanya jambo moja" au "Kuna jambo moja bado hujalifanya" # Uza vyote ulivyonavyo "Uza mali zako zote" au "uza vyote unavyomiliki" # Wagawie masikini "Wape hizo pesa masikini" # Utakuwa na hazina mbinguni "Utakuwa na baraka za Mungu mbinguni"