sw_tn/luk/18/11.md

12 lines
365 B
Markdown

# Mfarisayo akasimama, akasali mambo haya juu yake mwenyewe
Maana kwenye maneno ya Kigiriki haipo wazi. inaweza kuwa na maana 1) "Mfarisayo alisimama akaomba juu yake mwenyewe kwa njia hii" au 2) Mfarisayo alisimama pekeyake na akasali."
# Majambazi
Jambazi ni mtu anayeiba vitu kwa kumlazimisha mtu ampe au kwa kumtishia kwa nguvu.
# Ninayopata
"Ninayopokea"