sw_tn/luk/18/11.md

365 B

Mfarisayo akasimama, akasali mambo haya juu yake mwenyewe

Maana kwenye maneno ya Kigiriki haipo wazi. inaweza kuwa na maana 1) "Mfarisayo alisimama akaomba juu yake mwenyewe kwa njia hii" au 2) Mfarisayo alisimama pekeyake na akasali."

Majambazi

Jambazi ni mtu anayeiba vitu kwa kumlazimisha mtu ampe au kwa kumtishia kwa nguvu.

Ninayopata

"Ninayopokea"