sw_tn/luk/18/01.md

664 B

Maelezo yanayounganisha"

Yesu anaanza kuwaambia mfano akiendelea kuwafundisha wanafunzi wake. Hii ni sehemu ile ile ya simulizi. Mstari wa 1 unatupa maelezo ya mfano ambao Yesu anataka kuusema.

Kisha

"Kisha Yesu"

Wanapaswa kusali daima wala wasikate tamaa

Sentensi hizi mbili zina maana sawa ambayo Yesu aliitumia ili kusisitiza. Lugha zingine zina namna tofauti za kusisitiza. "Daima muendelee kuomba."

akasema

Hii pia inaweza kuanza kwenye sentensi mpya "Akasema"

Kulikuwa na hakimu katika mji fulani

Neno "fulani" imetumika kuonyesha kuwa hii ilitokea, lakini bila kumuonyesha hakimu au mji.

Kuogopa

Ogopa

Haeshimu watu

"Hajali watu"