# Maelezo yanayounganisha" Yesu anaanza kuwaambia mfano akiendelea kuwafundisha wanafunzi wake. Hii ni sehemu ile ile ya simulizi. Mstari wa 1 unatupa maelezo ya mfano ambao Yesu anataka kuusema. # Kisha "Kisha Yesu" # Wanapaswa kusali daima wala wasikate tamaa Sentensi hizi mbili zina maana sawa ambayo Yesu aliitumia ili kusisitiza. Lugha zingine zina namna tofauti za kusisitiza. "Daima muendelee kuomba." # akasema Hii pia inaweza kuanza kwenye sentensi mpya "Akasema" # Kulikuwa na hakimu katika mji fulani Neno "fulani" imetumika kuonyesha kuwa hii ilitokea, lakini bila kumuonyesha hakimu au mji. # Kuogopa Ogopa # Haeshimu watu "Hajali watu"