sw_tn/luk/18/01.md

28 lines
664 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo yanayounganisha"
Yesu anaanza kuwaambia mfano akiendelea kuwafundisha wanafunzi wake. Hii ni sehemu ile ile ya simulizi. Mstari wa 1 unatupa maelezo ya mfano ambao Yesu anataka kuusema.
# Kisha
"Kisha Yesu"
# Wanapaswa kusali daima wala wasikate tamaa
Sentensi hizi mbili zina maana sawa ambayo Yesu aliitumia ili kusisitiza. Lugha zingine zina namna tofauti za kusisitiza. "Daima muendelee kuomba."
# akasema
Hii pia inaweza kuanza kwenye sentensi mpya "Akasema"
# Kulikuwa na hakimu katika mji fulani
Neno "fulani" imetumika kuonyesha kuwa hii ilitokea, lakini bila kumuonyesha hakimu au mji.
# Kuogopa
Ogopa
# Haeshimu watu
"Hajali watu"