sw_tn/luk/17/34.md

842 B

Nawaambia

Kama Yesu anaendelea kuhutubia wanafunzi wake, anasisitiza umuhimu wa nini alichokua akiwaambia.

katika usiku huo

Hii inahusu nini kitatokea kama yeye, Mwana wa Adamu, atakuja wakati wa usiku.

kutakuwa na watu wawili katika kitanda kimoja

mkazo si juu ya watu hawa wawili, lakini juu ya ukweli kwamba baadhi ya watu watachukuliwa na wengine wataachwa.

kitanda

"kochi"

Mmoja atachukuliwa, na mwingine ataachwa

"Mtu mmoja atachukuliwa na mtu mwingine ataachwa." Hii inaweza semwa kama "Mungu atachukua mtu mmoja na kumuacha mwingine" au "Malaika atachukua mmoja na kumuacha mwingine"

Kutakuwa na wanawake wawili wakisaga nafaka pamoja

mkazo si juu ya hawa wanawake wawili au shughuli zao, lakini juu ya ukweli kwamba baadhi ya watu watachukuliwa na wengine wataachwa.

kusaga pamoja

"wakisaga nafaka pamoja"