sw_tn/luk/17/34.md

28 lines
842 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Nawaambia
Kama Yesu anaendelea kuhutubia wanafunzi wake, anasisitiza umuhimu wa nini alichokua akiwaambia.
# katika usiku huo
Hii inahusu nini kitatokea kama yeye, Mwana wa Adamu, atakuja wakati wa usiku.
# kutakuwa na watu wawili katika kitanda kimoja
mkazo si juu ya watu hawa wawili, lakini juu ya ukweli kwamba baadhi ya watu watachukuliwa na wengine wataachwa.
# kitanda
"kochi"
# Mmoja atachukuliwa, na mwingine ataachwa
"Mtu mmoja atachukuliwa na mtu mwingine ataachwa." Hii inaweza semwa kama "Mungu atachukua mtu mmoja na kumuacha mwingine" au "Malaika atachukua mmoja na kumuacha mwingine"
# Kutakuwa na wanawake wawili wakisaga nafaka pamoja
mkazo si juu ya hawa wanawake wawili au shughuli zao, lakini juu ya ukweli kwamba baadhi ya watu watachukuliwa na wengine wataachwa.
# kusaga pamoja
"wakisaga nafaka pamoja"