sw_tn/luk/17/30.md

28 lines
638 B
Markdown

# Baada ya namna hiyo itakuwa
"Itakuwa kama hiyo." "Kwa njia hiyo hiyo watu hawtakuwa tayari"
# siku ile Mwana wa Adamu atakapofunuliwa
Hii inaweza semwa kama "wakati Mwana wa Adamu ataonekana" au "wakati Mwana wa Adamu anakuja"
# usimlete aliye kwenye dari ya nyumba ashuke chini
"yeyote alie juu ya nyumba asishuke" au "mtu akiwa darini kwake, ni lazima asiende chini"
# juu ya dari
dari zao zilikuwa bapa na watu kuweza kutembea au kukaa juu zao.
# vitu vyake
"mali zake" au "mambo yake"
# kurudi
Walikua wasirudi nyumbani kuchukua kitu chochote
# Mwana wa Adamu
Yesu anazungumza juu yake mwenyewe. "Mimi, Mwana wa Adamu"