# Baada ya namna hiyo itakuwa "Itakuwa kama hiyo." "Kwa njia hiyo hiyo watu hawtakuwa tayari" # siku ile Mwana wa Adamu atakapofunuliwa Hii inaweza semwa kama "wakati Mwana wa Adamu ataonekana" au "wakati Mwana wa Adamu anakuja" # usimlete aliye kwenye dari ya nyumba ashuke chini "yeyote alie juu ya nyumba asishuke" au "mtu akiwa darini kwake, ni lazima asiende chini" # juu ya dari dari zao zilikuwa bapa na watu kuweza kutembea au kukaa juu zao. # vitu vyake "mali zake" au "mambo yake" # kurudi Walikua wasirudi nyumbani kuchukua kitu chochote # Mwana wa Adamu Yesu anazungumza juu yake mwenyewe. "Mimi, Mwana wa Adamu"