sw_tn/luk/17/30.md

638 B

Baada ya namna hiyo itakuwa

"Itakuwa kama hiyo." "Kwa njia hiyo hiyo watu hawtakuwa tayari"

siku ile Mwana wa Adamu atakapofunuliwa

Hii inaweza semwa kama "wakati Mwana wa Adamu ataonekana" au "wakati Mwana wa Adamu anakuja"

usimlete aliye kwenye dari ya nyumba ashuke chini

"yeyote alie juu ya nyumba asishuke" au "mtu akiwa darini kwake, ni lazima asiende chini"

juu ya dari

dari zao zilikuwa bapa na watu kuweza kutembea au kukaa juu zao.

vitu vyake

"mali zake" au "mambo yake"

kurudi

Walikua wasirudi nyumbani kuchukua kitu chochote

Mwana wa Adamu

Yesu anazungumza juu yake mwenyewe. "Mimi, Mwana wa Adamu"