sw_tn/luk/17/09.md

36 lines
870 B
Markdown

# Kuunganisha kauli:
Yesu alimaliza kufundisha. Huu ni mwisho wa sehemu ya hadithi hii.
# Yeye hashukuru
"Yeye hakutaka kuwashukuru" au "Wewe hutashukuru"
# mambo yaliyo amuriwa
Hii inaweza kusemwa "Mambo uliyo muagiza afanye"
# gani?
"haki?" au "ni hii si kweli?"
# wewe pia
Yesu alikuwa akizungumza na wanafunzi wake, hivyo lugha ambazo zina wingi wa "wewe" itakuwa matumizi yake.
# yale uliyo amuriwa
Hii inaweza kusemwa kama "kwamba Mungu alikuamuru"
# usema
"ukusema kwa Mungu"
# Sisi ni watumishi tusiostahili
Hii ni kueleza kuwa wao hawakufanya kitu cha kustaili kusifiwa. "Sisi watumishi wa kawaida" au "Sisi watumishi hatustahili sifa yako"
# Hamshukuru mtumishi ... alivyoamuru, je anafanya?
Yesu anatumia swali hili ili kuonyesha jinsi watu wanavyo wafanyia watumishi. Hii inaweza kuwa kauli. "Yeye hakutaka kumshukuru mtumishi ... aliamuru"